MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Nashindwa kabisa kufungua internet kwenye simu yangu ,simu yangu ni samsung galaxy star GT S5282
Inatumia wireless for fidelity(WiFi),ina mwezi mmoja tu na settings kila nikichange inagoma ,hata kama ni 2G hata kufunguka hakuna kabisa ilifungua siku moja tu mwanzoni ,je
1. Au OS yake inahitaji kuupdate?
2.Au ni virus?
3.Au location yangu?
sijaelewa hapa msaada please
picha
yake hii hapa