Alibeep wakati hakujiandaa kupigiwa. Kandamiza tu ili siku nyingine atafute msaada wa jinsi ya kujitambua.
aaaarrrggh inaboa sana ukute alivojitoa tu ukakaa kaa lkkaja zali la mentali mambo yamejiset mapichapicha yanaanza kukuharibia unaonekana siyo kabisa
Sijui inakuwaga ni "pepo", hakyanani me sielewagi. The moment umechoka kumbembeleza, umekomaa mwenyewe ushaanza kumsahau ndo unaona mtu huyo na milonjo yake. Baby baby nyingi, afu bahati mbaya ule upendo wa awali ukipotea kuurudisha ni wachache sana ndo wanawezaga. Yani unabaki kujiuliza kuna kipi kipya kilichomrudisha. You just listen to your heart my dear basi
Daah mambo mengine bana babu, basi tuTofauti ya theory na practical coaching iko huku!
nyie si mnajifanya vidume?? dawa ndo hiyo kama alizoea kuliliwa liliwa kakutana na wrong namba
"mimi na wewe basi' ni maneno niliyokuwa naavoid sana kutumia hata kama ni utani hatujagombana cho chote. Nilikuwa nikisema hivyo au nikiandika hivo namaanisha kweli kweli, yaani hapo nshaamua sirudi nyuma tena.
Na mimi nilikuwa nikiambia au nikitumiwa nayachukulia very serious na kuheshimu maamuzi yake. Nami nilikuwa nakakaa kimya hivyo hivyo sijibu chochote, tena na namba yako nadelete kabisa. So ukilogwa unipigia utashangaa nitakavyopokea na kukuuliza we nani..........nikishajua ni yule yule nahang down, no more stories