Nashindwa kudownload series

sam green

Senior Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
193
Reaction score
300
Msaada wako! Na ushauri pia ni muhimu mimi nashindwa kabisa ku download series kwa ktumia simu nikitumia chrome,opera min, phoenix. Nikiweka series nyingi kuanzia EP sod 4 na kuendlea ina download iktaka kumaliza ina failed na zilizobakia zina andika invalid, au link expay labda kama kuna browser nyingine ambyo itakuwa ina download vizur bila ya kuleta tatizo.

Maana huwa na download kwa pc niku connect na idm pamoja na WhatsApp web.

Sasa nikaona ni vyema niwe na download hata usiku nikiwa home na nyumban sina pc nina simu tu. Msaada wako na ushauri ni muhimu kwangu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] video zipo katika drive ya google
 
Use different Browser like Mozila, phoenix,UC,Operamini kn...pakua nyingine kama hujawahi kujaribu
Hizo browser zote upuuzi tumia uc browser, hata sometime inaruhusu ku stop na resume
 
Download utorrent... Ingia ktk series sites kama eztv etc, tumia maginets ambazo zina link na utorrent hapo utaweza kudownload bila shida yoyote...

Waweza download hata series mia kwa wakati mmoja, muhimu bando na space ktk simu yako
 
mimi hutumia telegram kusearch na kudownload,sijajua kuhusu hizi mpya na za kikorea kama inawezekana.
 
natumia whatsapp kw ma dj wa movie mpyaa za kila week
Hizo season za madj sijawahi kuzipenda hata kidogo maana nyingi wanatafsiri kwa kutoa tafsiri maumbo na sio tafsiri maana.
Mara akampiga ngumi. Akampiga teke. Akakaa, akasimama akanywa maji.
Ayaaaa ayaaaaa asalalaaaaa na miruzi mingiiiiii.
 
Website gan huwa unatumia mkuu na mm nahitaj kudownload series ila sizifaham websites nzur
1. Todaytvseries (igoogle hii)


2. Netnaija.com
quality katika baadhi ya scenes hupungua lakini size ni ndogo, mfano episode moja utakuta ina 104MB au movie ina 317 MB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…