Wakuu, heshima mbele.
Baada ya kumuazimisha jamaa yangu Computer yangu (laptop) niliamua kubadili Password lakini inaniletea ujumbe unaosomeka.. "windows cannot change the password" nifanyeje?.
Mimi ni mtumiaji wa Computer lakini sijabobea.
Msaada tafadhalini Wa kuu!