Belleringal Member Joined May 25, 2020 Posts 83 Reaction score 155 Oct 15, 2021 #1 Nilikuwa nashida ya cotton cake ....kwa mtu mwenye connection kwa namna moja ama nyingine tafadhari nisaidie ...
Nilikuwa nashida ya cotton cake ....kwa mtu mwenye connection kwa namna moja ama nyingine tafadhari nisaidie ...
K KANAL Senior Member Joined Dec 26, 2012 Posts 112 Reaction score 66 Oct 16, 2021 #2 Unahitaji kiasi gani mkuu? Ofa yako ni sh ngapi per kg au per ton unapatikana wapi?
F Felix JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 903 Reaction score 797 Oct 16, 2021 #3 Ulizia Mwanza mkuu
qualalumpagrinder JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 465 Reaction score 817 Oct 17, 2021 #4 Siku nyingine andika "mashudu ya pamba" sioni sababu ya kuandika cotton cake hapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,526 Reaction score 193,516 Oct 17, 2021 #5 Tembelea kwenye supermarkets...
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,720 Reaction score 23,961 Oct 17, 2021 #6 Jina zuri utadhani keki fulani classic kumbe mashudu ya pamba Anyway unahitaji mzigo kiasi gani na unanunua bei gani kwa kilo. Nina mzigo unakaribia kutoka upo Moro huo mzigo sio tu ni cotton cake bali no HOT COTTON CAKE. PM me
Jina zuri utadhani keki fulani classic kumbe mashudu ya pamba Anyway unahitaji mzigo kiasi gani na unanunua bei gani kwa kilo. Nina mzigo unakaribia kutoka upo Moro huo mzigo sio tu ni cotton cake bali no HOT COTTON CAKE. PM me
Belleringal Member Joined May 25, 2020 Posts 83 Reaction score 155 Oct 17, 2021 Thread starter #7 Kilo 500