Nashida ya cotton cake

Nashida ya cotton cake

Belleringal

Member
Joined
May 25, 2020
Posts
83
Reaction score
155
Nilikuwa nashida ya cotton cake ....kwa mtu mwenye connection kwa namna moja ama nyingine tafadhari nisaidie ...
 
Unahitaji kiasi gani mkuu? Ofa yako ni sh ngapi per kg au per ton unapatikana wapi?
 
Jina zuri utadhani keki fulani classic kumbe mashudu ya pamba

Anyway unahitaji mzigo kiasi gani na unanunua bei gani kwa kilo. Nina mzigo unakaribia kutoka upo Moro huo mzigo sio tu ni cotton cake bali no HOT COTTON CAKE.

PM me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom