Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Ni mawazo tu kua ili kupata maendeleo ya haraka tungeachana na siasa hii ikiwa nipamoja na kuweka pembeni vyama vya siasa.
Kwani ni lazima tuwe na vyama ili kuwa na serikali?
Ninavyoona vyama vinaturudisha nyuma na kutumika pesa nyingi na mwisho wa siku tunaishia kulumbana na kushindwa kutumia taaluma zingine nzuri ambazo wanazo watu wa vyama pinzani.
Hili likifanyika huenda likazisaidia pia nchi nyingi tu za ki afrika cha muhimu tuongozwe na kuheshimu katiba, vinginevyo nchi zilizoendelea watazidi kutuacha maelfu ya miaka tukizozana na kulumbana.