MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Na ni muhimu pia yeye mwenyewe meya akawa na ulinzi binafsi na hidden camerasHabari Comrades,
Ninaomba wahusika wa CHADEMA wamuombee ulinzi wa kutosha Mstahiki Meya wa Ubungo Meya Boniface Jacob kufuatia kuanza kwa shauri lake dhidi ya Paul Makonda (Daudi Bashite) kuhusiana na uhalali wa Elimu ya RC huyo wa Dsm..
Hii ni kwasababu kumekuwa na taarifa za yeye Mstahiki Meya Jacob kuombwa mara kadhaa suluhu nje ya Mahakama/nje ya Tume ya Maadili kuliondoa shauri hili na pia kumetajwa kutumika kwa pesa kwenye hili lakini Meya Jacob amekataa.
Sote tunakumbuka jinsi suala hili la Elimu ya RC huyu lilivyotikisa Nchi siku za nyuma na ni vema sasa ukweli ujulikane.
Niwaombe wahusika ndani ya CHADEMA mumuombee ulinzi wa kutosha Meya Jacob hasa kipindi hiki na barua ya kumuombea ulinzi huo Polisi iwekwe HADHARANI.
Huwa nasikia cdm wana red brigedi INA Kazi ganiHabari Comrades,

Habari Comrades,

Niko huku mchamba wima ningekuwa karibu ningekuja kumlinda kabisa tunataka viongozi ambao wanajiamini na wako tayari kutetea ukweli bila kuchukua rishwaTuko pamoja
Ndio ulinzi muhimu coz bashite anajeshi lake LA makirikiriKabisa mkuu .
Nilitegemea watoto Wa kike. Kama we we kuongia kwenye choo cha wanaume kaanzishe Uzi wako kule Lumumba mjinga wwUjinga uliopitiliza.Mkewe hatoshi kumlinda ?