gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 394
- 376
Kwani mc ni nani??mhhhh huyo hata bure hafai kuwa mc shutu ujue kuongea na sio kuraap
We ndo mburura kabisa...nani kakwambia target ya kwnz ya mc ni kupata hela?? Unapaswa kujifunza maana ya hip hop ai kama vipi endelea kushabikia taarabuJe? Ana pata pesa kwa uumini wake wq HIP HOP...Ama laa hafanyi mziki biashara.
Kwani na wewe nae ni mc?? Maana sizani hata kama unajua hip hop ni niniNimechoka hayo mambo ya kukomalia misingi ya hiphop halafu huna hela
in hip hop we dream in biggest not richest.We ndo mburura kabisa...nani kakwambia target ya kwnz ya mc ni kupata hela?? Unapaswa kujifunza maana ya hip hop ai kama vipi endelea kushabikia taarabu
Kama umesoma vizuri kuna sehem nimeandika mwanzo zilikua tano sasa ni nane na moja kati ya nguzo iliyoongezwa ni ujasiliamali na ndo maana siku hizi unaoma emcs wana print t-shirt mfano NASH na tamaduni kwa ujumla wanafanya sana hii kitu. Na emcs wanafanya project kibao za kiuchumi na kijamii pia. Lakini kuwa mjasliamali haimaanishi uvunje nguzo na misingi ili upate pesa. Haimaanishi uimbe upuuzi kisa tu upigwe kwenye radio na tvin hip hop we dream in biggest not richest.
Ila mkuu kumbuka nguzo zilizoongezwa mwaka 2001 kwenye kongamano la hip hop intrepreneurial ilikuwa mojawapo buddy
Kwa maana iliyozoeleka upo sahihi mkuu.!
!
Msema Chochote.
Mkuu mimi si NASH na wala sina uhusiano wowote wa karibu na huyu jamaa. Ila kwa kuwa ni mc basi sina budi kusema ukweli.Songa Nash Songa tu majaribu ni mengi!!
Mkuu mimi sio MAALIM NASH na wala sina uhusiano wowote wa karibu n huyu jamaa. Mi napenda hip hop na naisupport by any means necessarySawa maalim nash,lakini lipia tangazo lako.
Watu hawataki ukweli siku hizi. Wanapenda vitu vya muda tuu. Ndo maana watu tumepoteza hata asili yetu. Kuanzia lugha, nguo, na hata rangi ya ngozi yetu.Kwa maana iliyozoeleka upo sahihi mkuu.
Lakini katika hiphop neno mc au emcee lina historia kidogo. Kipindi hiphop ndio inashamiri state kuliibuka makundi ya waganaji wa aina tofauti tofauti. So, baadhi waliyokuwa wanaimba maisha halisi ya kutetea watu weusi wakawa wanajitofautisha na wengine. Marley ndio mmojawapo wa wasanii wa hiphop kujiita mc....hivyo kutokana na hiyo trend hilo jina likawa kama limesanifishwa katika utamaduni wa hiphop
Wamarekani wapi wameacha misingi mkuu?? Wamarekani unaowasikiliza wewe ndo wameacha misingi ila ninaowasikiliza mimi hawajaacha hata msingi ama nguzo moja.Hip hop siyo dini ndugu yangu...wenyewe wamarekani hiyo misingi wameinyuti! Watu wanaangalia pesa...na kwasababu si dini, basi hakuna dhambi ukiacha!!! [HASHTAG]#MZIKIPESA[/HASHTAG]
Sijasema kua wewe ni Nash ila nimeonesha sapoti yangu Kwake..Mkuu mimi si NASH na wala sina uhusiano wowote wa karibu na huyu jamaa. Ila kwa kuwa ni mc basi sina budi kusema ukweli.