Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Hip Hop ni uhalisia sio kujipamba kwa vya kuazimaAnaniudhi sana uvaaji wake, anavaa kifalafala tu, tunaijua hiphop, hiphop haihusiani na uchafu hiyo ni tabia binafsi
Tazama tangu enzi za NWA, kina Ice Cube, Eminem, Dre, Pac, Big, Nas nk hakuna mchafu mchafu
Walisuka nywele, waliweka vipini nk ili wapendeze, miaka ya nyuma sana kweli walivaa hovyo lakini sio kwamba ndio hiphop ni kwa sababu za kiuchumi, tazama baada ya kushika hela wote wanashine na wanafanya hiphop, ingekuwa kushine kunahusiana na muziki wao wangebadili aina ya muziki pia.
Sasa wasanii wetu wa hiphop wanafikiri kuna uhusiano kati ya hiphop na uchafu, angalau kuna baadhi wanajitambua wanapendeza siku hizi kama tamaduni, weusi, kina Darasa nk
Mtu asiniambie Nash hashine sababu hana hela ni uongo, uwezo wa kuvaa anao sema anachanganya sana hiphop na imani yake
Anavaa hovyo hovyo sana sio sio msanii wa mfano, ni mfano mbaya kwa hiphop na asichojua anafikiri anakuza hiphop kumbe anaiua, ili aina ya muziki ikue ni ipate waimbaji wengi, sasa hakuna aliye nje ya muziki atatamani kuingia kwenye hiphop kwa kumtazama Nash
Kijana akimtazama Nash anaiona dhiki kuu ndani ya hiphop, anaamua kubana pua tu maana huko vijana wanajaribu sana kuficha njaa hata kama hawana kitu
chaumaHuyo Mc Ni Chama gani?
Akale ubwabwa kwa Babu madevuchauma
kwa hiyo unasema nash hana swaga?Ananiudhi sana uvaaji wake, anavaa kifalafala tu, tunaijua hiphop, hiphop haihusiani na uchafu hiyo ni tabia binafsi
Tazama tangu enzi za NWA, kina Ice Cube, Eminem, Dre, Pac, Big, Nas nk hakuna mchafu mchafu
Walisuka nywele, waliweka vipini nk ili wapendeze, miaka ya nyuma sana kweli walivaa hovyo lakini sio kwamba ndio hiphop ni kwa sababu za kiuchumi, tazama baada ya kushika hela wote wanashine na wanafanya hiphop, ingekuwa kushine kunahusiana na muziki wao wangebadili aina ya muziki pia.
Sasa wasanii wetu wa hiphop wanafikiri kuna uhusiano kati ya hiphop na uchafu, angalau kuna baadhi wanajitambua wanapendeza siku hizi kama tamaduni, weusi, kina Darasa nk
Mtu asiniambie Nash hashine sababu hana hela ni uongo, uwezo wa kuvaa anao sema anachanganya sana hiphop na imani yake
Anavaa hovyo hovyo sana sio sio msanii wa mfano, ni mfano mbaya kwa hiphop na asichojua anafikiri anakuza hiphop kumbe anaiua, ili aina ya muziki ikue ni ipate waimbaji wengi, sasa hakuna aliye nje ya muziki atatamani kuingia kwenye hiphop kwa kumtazama Nash
Kijana akimtazama Nash anaiona dhiki kuu ndani ya hiphop, anaamua kubana pua tu maana huko vijana wanajaribu sana kuficha njaa hata kama hawana kitu
MC ni kiswahili. Msema Chochote.Naona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
Sio kweliii angekuwa ana uislamu wingiii asingeimba mzikiudini unamsumbua nash, uislamu mwingiiii,kiasi kwamba anakuwa mpumbavu hapo achilia mbali na hulka za waislamu wote tunazijua
"Maneno" by Nash Emcee.
Ulitoa ushauri wa kiduwanzi. Unastahili block!!
Eti jitihada za kuongeza fan base ya mademu kwa 'kufanya video kubwa'.... hahahaaa.
Kibongo bongo, hip hop na mashabiki wa kike wapi na wapi?!!! mkuu wewe endelea tu kuwatch video za kina Diamond and the like. Hip Hop waachie wenyewe.
-Kaveli-
Mc means mchenguaji na sio emcee'sNaona anasifiwa sana kwa matumizi ya kiswahili lakini jina lake tu Nash Mc kuna neno la kingereza hapo,je hakuna kiswahili cha Emcee? Ili kithibitisha kwa vitendo hicho anachokihubiri kwa kuanza na jina lake!
umeamua uwaletee na picha kabisa[emoji3][emoji3]
Ni msanii mswahili asilia...anayekwenda na miondoko ya hiphop, anajielewa na anaelewa anachokifanya. Ni balozi mzuri wa kiswahiliWewe ndo humjui, Nash anaalikwa maŕa nyingi Germañy kwenye matamasha
Hakuna elimu ya namna hiiiAmefuzu 'Elimu ya Mtaa' na akaelimika
hakuna elimu hii takatakNa elimu aliyonayo ni ile ya mtaani.
Hip-hop takatakaKizazi cha sasa kinahitaji hip hop na sio pornographic music.
wasanii wanaojielewa Diamond, Kiba, Vanny, Zuchu, Nandy, Jux nk nk sio huyo.Ni msanii mswahili asilia...anayekwenda na miondoko ya hiphop, anajielewa na anaelewa anachokifanya. Ni balozi mzuri wa kiswahili
So Hip-hop uchafu na kuvaa kikoloHip Hop ni uhalisia sio kujipamba kwa vya kuazima
Kuvaa vizuri hakuna gharamaHip Hop ni uhalisia sio kujipamba kwa vya kuazima
Kabisa, muziki una code zakekwa hiyo unasema nash hana swaga?