samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,232
Ni tahadhari tu maana wapiga kura hawajakata tamaa na watakuja kwa hamasa ileile na huenda ikazidi pia kuna kundi upande wa ccm laweza kuyumbia upande wa pili. Ni mtazamo wangu tu
CCM WANATAKA UCHAGUZI URUDIWE SIYO KWA KUTEGEMEA KURA ILA WALAZIMISHE USHINDI KWA KUTUMIA DOLA.CUF WALISHAJUA HILO MAANA WALISHINDWA KUFANYA HIVYO KWA KUELEKEZA NGUVU YOTE BARA WAKAJISAHAU.SASA WANAONA NJIA PEKEE NI KURUDIA UCHAGUZI ILI WAPATE KUIBA AU KULAZIMISHA USHINDINi tahadhari tu maana wapiga kura hawajakata tamaa na watakuja kwa hamasa ileile na huenda ikazidi pia kuna kundi upande wa ccm laweza kuyumbia upande wa pili. Ni mtazamo wangu tu
kinachotarajiwa sio kurudia uchaguzi bali maigizo ya kumtangaza nkurunzinza shein....