Ni hatarii hii najua c muda hii namba utaifunga make zitapigwa simu nyingi ila hautapata ata mmoja! Kamwombe mungu for one uwe na maombi ya sirias ata kuja mchumba but utaelekezwa sehemu sahihi pa kukutan na mwenzio km ni hapa jf basi utarudi. Usipuuze fanya maombi ya ukweli ikibidi ufunge.