NASA wajanja sana

Hizi story ukisimulia kwenye kijiwe cha draft zinamake sense sana.
 
Defense department kuwa na tawi la Hollywood.
Matrix ukiplay reverse unakutana na ujumbe kuhusu 9/11 event.
Symbols n letters are used to hide events
 
Umeandika ujinga
 
unacho kisemq kipo sahih ila kilikuepo kwa wakat wake mfano iyo miji kama atlantis sjui pandora nkuongzee mingine saud arabia unaoion leo zman iliitwa jazira tul arabia tanzania unaon leo zaman iliitwa tangawanyika iran unaion zman iliitwa persian atlantis zilikua island ambazo baaz zmezama atlantis ilizama kwa maj ht ukigoogle utaona mji upo chn yte ajil mabadliko tu ya hal ya hewa so movie unazoon advntre wanaigzia bc kbao uko nyuma majin ayawz kua saiv na yule mtu wa taurus alotoka iyo nchi km pasport yake hakua mtu wa kawaid nae, sema jin hat ukigoogle utaona alikua yupo kzuizin ila bdae alitoeka akiwa selo na kumefungwa inshort acha kuzfany movie km kitu halis ni entertainmnt thit mda mwngne wanaigiza vtu halis
mfan unasema wanalind sjui usivuke kwend uko kwa maslai gn yan wafche tu tusione na watu wa kule nao wanafchwa waspaone kwetu? hy thats fyn inamana ndege aziwez kupaa had anga iyo zpo ndege za bnafs nying tuu akosekan mwamba aruke avuke iyo Bawwaabaat unayosema kwa ndege ni mambo ya conspiracy tu wajinga wachache km wew wanateka attention kwa watu then nuthng els
 
Mada yako ina flaw moja mbaya, NASA mara CIA mara vitabu. Yaani haina muunganiko.
Tanzania mna siri gani? CIA ni intelligence agencies kama zingine tu, wanaoperate under ODNI, na anakua appointed na rais. Sasa rais kwanini asijue kinachoendelea ?
Mwishowe hizo ni conspiracy theory acha kuangalia too much movies man
 
Nilijua tu mpinga mleta mada ataibuka mithili ya mpinga kristo
 
Defense department kuwa na tawi la Hollywood.
Matrix ukiplay reverse unakutana na ujumbe kuhusu 9/11 event.
Symbols n letters are used to hide events
😭😭😭🤣 So nawe ni mmoja wa wajua hizo vitu, mna branch yenu ya upelelezi
 
Ujifunze kuweka alama za mitajo mkuu,
 
katika Idadi yetu ya million 60,kuna vijana kama hawa millioni 5.
Yani huyu kama kwenye jina la kura za Urais likawekwa la SUPER MARIO ,atampigia kura.

Usikute yupo serikalini huyu na ana cheo cha kutoa maamuzi.

Aya ,tukutane PANDORA.
 
Mjomba mwanzo nilikuwa nakuelewa lakini baadae nikagundua kwamba kama siyo muvi zimekuharibu basi amka hapo ili ndoto yako hiyo isije kusababisha mengine ukaumbuka hapo
 
Umelewa?
 
Aliye elewa anielezee kwa ufupi 🙏🏻
Anamaanisha sisi Waafrica is empty. Kila kitu tunawategemea Marekani na NASA watuvumbulie. Halafu tunaanza kuwalaumu kwa nini hawaweki wazi walichovumbua. Mwandishi hajisumbui kujiuliza kwa nini na wao wasiwe advanced,mkavumbua wa kwanza.
(Japo hajasema)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…