Narumu village in Kibosho

Ujumbe umefika hata kama utasema kajifunze english, english ki2 gani? mbona ni lugha kama nyingine acha hizo.
 
Najiuliza kama kweli Mtoa mada alikuwa na nia ya kujenga au kuna agenda ya siri nyuma ya mada yake. Hivi kwa umri wa hawa watoto wa kijijini inaingia akilini kuwa wanaweza kutoa majibu uliyoandika!! Doctor,Police,Engineer
 
Kwel mkuu so ajabu ao madogo hata kiswahili hawajui
 
Shida siyo Lugha peke yake, Kupitia maandishi ni rahisi kutambua uwezo wa akili ya mtu. Hebu ona ujmbe ulioleta kwa JF kama una uwiano!! Angalia umri wa watoto hao kama wanaweza kweli kutoa majibu uliyoandika. Ona lugha uliyotumia kuwaletea wana JF. Kwani ilikuwa lazima kutumia lugha ya kigeni kutupa ujumbe huo? Tumia lugha unayoielewa kwani wabongo watakuelewa tuu. SI wabongo umewaandikia? Acha Utumwa wa kimawazo kudhani ukiandika kizungu utaonekana msomi. Hata maprofesa wa lunga ya kiswahili wapo. Acha ushamba.
 
Kiswahili lugha ya Taifa.
Na mikoani ah Kiswahili chatumika
Na vijijini ah Kiswahili chatumika.
Kiswahili ligha ya Taifa.
Tujitahidi kuipa kipaumbele na kuachana na hii lugha ya kitumwa.
Nalog off
 
Kiswahili lugha ya Taifa.
Na mikoani ah Kiswahili chatumika
Na vijijini ah Kiswahili chatumika.
Kiswahili ligha ya Taifa.
Tujitahidi kuipa kipaumbele na kuachana na hii lugha ya kitumwa.
Nalog off

Kwa mafumbo dada! nakuzimia! Lazima una mzigo wa shanga kiunoni!
 
Hio picha nadhani inaeleza how people in this village are;, Mbunge wa jimbo hili na viongozi waandamizi wameshindwa kuleta sera ya maendeleo ya jimbo.
 
Simple answer. CCM kills dreams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…