Narudi 'rodi', Wanazi na Wadau nijuzeni kuhusu mji wa Kigoma

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,191
Yanga Kigali
Simba Lusaka!
Tuombe heri.

Kwa sasa tunakamilisha tu vibali na matambiko, October kazi inaanza rasmi. Chuma itakuwa inalalia Kigoma mara 4 kwa wiki.

Sasa mji huo mimi ni mgeni. Naomba wanazi tupeane dondoo za mkoa huu kibiashara.

Pia kimakazi maeneo yapi yanafaa. Mitaa ipi ya kuwa nayo makini, wapi pa kutokutia miguu, bar zipi nzuri, wapi ni standard kupata huduma zetu, mitaa ipi classic, vijiwe bora vya kahawa ni vipi, wenyeji wa huko wanahulka zipi?

Tuhabarishane. Si vyema kuingia miji ya watu bila maelekezo.
 
Unaenda kufanya kazi au starehe??
 
Kwanini mkuu?
Distance ya dar to kigoma ni KM ngapi? Zidisha mara hizo siku 4 kwa week, Halafu nenda kasome kitabu ( user manual ) cha markopolo.

NB: Nimetumia mfano kwa scania maana ndio gari ngumu zinazojiweza kwa mazingia yetu. Sijajua utamuweka mchina au nani, lakini fanya tathmini kwa muongozo huo mfupi...
 
Yah. Uko sahihi. Ila route sio dar kigoma. Ni Nzega to kigoma.
 
Utawin, soko ni zuri na abiria ni wengi. Kwa sasa kuna gari mbili tu za Kigoma -shinyanga ambazo ni scorpion na Aifola.
Aifola ni nzuri zaidi kuliko scorpion.
Pia Allys anazo gari za Mwanza to Mpeta. Hilo eneo la Mpeta ni eneo lenye wakazi wengi wasukuma hivyo wanasafiri sana toka huko kwenda Mwanza, bariadi, meatu.
 
Barabara ya Nzega-Kigoma pia sio mbaya sana, utatembea na lami mpk Malagarasi,kisha utakula vumbi mpk uvinza baada ya hapo ni lami tu mpk kigoma mjini.
 
Utawin, soko ni zuri na abiria ni wengi. Kwa sasa kuna gari mbili tu za Kigoma -shinyanga ambazo ni scorpion na Aifola.
Aifola ni nzuri zaidi kuliko scorpion.
Pia Allys anazo gari za Mwanza to Mpeta. Hilo eneo la Mpeta ni eneo lenye wakazi wengi wasukuma hivyo wanasafiri sana toka huko kwenda Mwanza, bariadi, meatu.
Mpeta iko wapi?
 
Mpeta iko wapi?
Mpeta iko wilaya ya uvinza, baada ya nguruka kuna bonde la Malagarasi maarufu sana kilimo cha mpunga na ndio kuanzia ukanda huo wamejaa wasukuma. Nilishangaa sana kuona Allys analaza gari pale tena mpya. Ila nikaja gundua bila kuweka booking huwezi pata seat, ndg zangu wasukuma wanasafiri sana.
 
Asante sana kwa hii tip.
wasukuma kiangazi husafiri sana, so malundo ya kiangazi unayafidia masika kipindi ambacho hawasafiri.
 
Back
Top Bottom