Nappe katika siasa za Magufuli

Kwa namna niijuavyo CCM uyo unaemsema anausalama wa Taifa na Majeshi anaweza kutolewa ndani ya dakika moja na pasiwepo hata dalili ya vurugu
Hajisimamii uchaguzi ndani ya chama
Hajipitishii jina wapo watu na ao watu ndio wenye CCM
 
Kwa namna niijuavyo CCM uyo unaemsema anausalama wa Taifa na Majeshi anaweza kutolewa ndani ya dakika moja na pasiwepo hata dalili ya vurugu
Hajisimamii uchaguzi ndani ya chama
Hajipitishii jina wapo watu na ao watu ndio wenye CCM
Weweee.. unazani mkimtoa ndio kazi imeishia hapo? KUMBUKA RAIS ANWEZA AKATANGAZA HARI YA HATARI AKAA IKULU MIAKA KAZAA NA HAO WASITAAFU WAKO WAKAPIGWA BANI HATARI. Acha kucheza na Amiri jeshi mkuu
Hata ccm wako hapo kwa sababu ya Majeshi yetu. Acha ushamba kabisaa
 
CCM niijuavyo Mimi haijawahi kukosa mgombea hasa katika nafasi ya uraia walikuwepo watu safi akina Jaji Ramadhani Augustine lakini walipendekeza Magufuli ntachukua nchi sababu kuu ni ule utii alioonesha kwa wazee wa chama wakati akiwa waziri tofauti na Lowassa Kama unakumbuka mwenyekiti wakati wa JK Alikua Nani 2010 wakati JK anatafuta kipindi Cha pili don't play with CCM
 
Dhumuni la andiko lako kwa jicho la tatu unachochea nape akatwe,maana unajua m/kiti uwezo huo anao na akiamua hamna wa kuleta fyoko,please usimjaribu ndugu huyu.
Dhumuni langu ni kuleta maridhiano kuliko mashindano na kiburi
Nataka kusema usitukanw mamba hujavuka mto bado safari 2020
 
Ndugu zamani Miaka ya 70 nilipokua mdogo nilikupa na mawazo Kama yako Ila baadae nikagundua kuwa CCM ni Dude kubwa kuliko ukubwa wenyewe
Mwalimu aliisuka CCM kwa namna ya pekee hakuna mkubwa kuliko CCM hapa Tanzania waulize wapinzani 2015 pamoja na vulugu zote lakini mwishowe wakawa Kimya na nchi inasonga Mbele
 
Kwenye mapendekezo yako ya nini Magufuli afanye namba 4 na 5, akilifanta na asipolifanya haponi yaani kifupi akisimama nchale akikaa nchale.

Mbinu pekee aliyobaki nayo ni hiyo ya kutuma vijana wake wa Tissccm kuteka, kuua, kutesa na kupoteza, ukumbuke mbinu hii ilikuwa ni last resort, kwa siasa tu Chadema ilikuwa imeshamlaza chini kumbuka uchaguzi wa 2015 na chaguzi zingine za marudio 2016 na 2017.

So far so now Magufuli has no any good option.
 
Aiseeee
 


Kumbuka JPM ndiye Rais. CCM hawana kitu bila ya Rais inikumbeti na vyombo vya Dola. Ni mwendawazimu anaye fikiri atachezea sharubu za Rais wa nchi kama Tanzania. Yaani hata hao Marais Wastaafu wanajua huu ukweli mchungu kuumeza.
 
Nje ya mfumo wa chama. Nani atathubutu kumdhibiti Magufuli ?
 
Kumbuka 2015 ccm mulikuwa hamsemi chagua ccm. Mulisema chagua Magufuli mchapakazi.
Acheni masihara nyie watu. Kila kitu na zama zake. CCM inaelekea mwisho.
 


Wewe hujui kuwa hata Nyerere mwenyewe ilifika wakati akawa hana namna nyengine zaidi ya kujisubmitt kwa inikumbeti mkt na Rais!!! Ingawaje alifurukuta kiasi kwa Mzee Ruksa baadaye akapatiwa mwarobani wake.
 
Hujui nchi hii wewe . Nakushauri usianze kuandika wakati ushakuwa biased
 
Mwenyekiti wa CCM taifa = mmiliki wa Chama
Kuna wakati Magufuli ni mgombea kama wagombea wengine Sasa wenye chama wanajua wafanye nini kwa tabia za wazee wa CCM huwakimya Hadi mudawao ufike yaani unaweza kuwanyanyasa lakini wanakusubiri zamu yao ifike
Pia wako smart wanaweza kutumia demikrasia kukutoa Tena tukiwa Live media zote zinaona kitu ambacho kitasababisha endapo Rais atatumia Nguvu Basi atapoteza waungwaji mkono
CCM sio mwenyekiti wa chama hata Kikwete alimtaka Membe mwisho wenye CCM wakampa Magufuli
 

Nonsense
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…