Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Unapinga nini wewe! Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anamamlaka ya kukutengua,wewe unapinga nini au ulikua mnufaika wa ukuu wa Mkoa wake mrija umekatwa eeh. The president has just exercise his power legally. Any way pole
Continuesly! Tengu tengua
 
Kwa hiyo unataka kumbishia yesu wa Lugola.
 
Bado DAB
Yule wa Mbeya
Na wa Iringa


Halafu nchi itastarehe.
 
Waache waione NGONDOIGWA!!
 
Tusipotezeane muda Mkuu wa Mkoa, wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri yamewakuta kwa Kushindwa Kumfanya Mtu fulani awe Udongoni.
 
KIBARUA KIMENUKA
ZILE BIA ZA BURE AMPATI TENAAA... LOH
 
Mkuu wa mkoa ndiye aliyetakiwa kuwaadhibu hao wakurugenzei waliokuwa hawamtii kwa kutumia njia mbalimbali alizonazo; kwa kushindwa kufanya hivyo, wote wamefeli leadership test.
Pia nahisi kuna tabia Kwa baadhi ya wakuu wa mikoa kujiona Rank moja na mawaziri kisa tuu wanaendeshwa na magari yanayofanana na payslips zao zinashabiana(according to one of the RCs). But wanasahau kwamba Waziri wa TAMISEMI (ambaye ni Jaffo Kwa SASA) ndie Boss wao.. Nahisi Walichukulia ushauri au maonyo yake kirahisi mno( Walimpuuza). Having the same appointing authority does not make you equal.
 
I have not been a fan of any political party leave alone my power of choice. However, The expulsion of Gambo has left me with some griefs. I really don't know exactly what has led the mkuu to such an astonishing decision, but there is one thing I know for sure" Gambo was jembe and hard-working person. I personally will miss him. He is so humane, intelligent, and hard working as I have narrated early on. I will completely miss his presence in Leadership. If I would have known the magnitude of the mistakes He made, I would have beseeched mercy from the appointing authority as per his restoration. May the Mkuu relent and pardon Him.
 
Mleta mada atakuwa na maslahi mapaja na bwana gambo pengine ni mtu na shemeji yake
 
Nyinyi watu kila kitu mnahusisha na dini, kwanini hamfikirii nje ya box ?
 
Masai hujui kuandika nenda ukagake arudi wee s mganga...CED NDO NINI ?
 
Unaonekana familia yenu ina asiri ya uchawi ndomana una roho mbaya kwahy madeleva wetu wanavyokonolewa kwenye pua kwako raha hahah

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Unampinga rais! Hujui kama hili ni kosa la uhujumu uchumi na uhaini!!! kichwa
 
Labda tujiulize, tatizo ni Gambo na hao wengine au ni mgawanyo wa kazi na utitiri wa vyeo vinavyoingiliana? Nahisi serikali yetu bado ni kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…