Mutu! Niombee nishinde!
Kilichonituma kugombea ni kutumia haki yangu ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa na zaidi ni kushiriki katika jamii kuleta changamoto kama kijana ya kuleta maendeleo katika kata. Mwisho ni kuhakikisha naisimamia na kuitekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010-2015.
Nagombea kupia CCM na ndg SELOUS mimi sipo kundi lolote ila nipo kundi la CCM.
Once again naomba sala na dua zenu.
Bye for now!
Nitarudi jamvini kati ya saa 12 jioni na saa moja.