Ndugu zangu watanzania,
Naomba nipendekeze kwamba, baada ya Uchaguzi wa 25/10/2015, na ccm kung'olewa madarakani, maanzimisho ya sherehe za UHURU wa Tanzania ziwe zinafanyika tarehe 25/10 kila mwaka, kuweka historia njema kwa Taifa jipya lenye mustakabali chanya.
Nawakilisha...!