kupendana sasa kumekuwa kama kula njugu ambazo hujui zimelimwa wapi, kuvunwa wapi na zilitunzwaje...............kazi ni kutafuna tu tumbo litajijua....................lenyewe.............
mchague haraka huyo mmoja, na uwajulishe kuwaacha hao wengine haraka,sababu kadiri unavyozidi kuwapotezea muda na ndivyo watakavyosononeka zaidi siku watakayojua.