Napenda wanawake mabonge

Kama ulihairisha kusoma kwa ajili ya unene wa Zena naona siku akikupiga chini utahairisha kuishi.....
 

Kama huna cha kuandika tulia kimya. Hayatuhusu kabisa. This is your private business.

 
Ohooo thank u jamani.
 

Mbona hizi story kama za Zena na Bettina. Mnene ana raha gani? Flexibility is the key. Mwembamba ndio mpango mzima. Unabeba, unakunja, unageuza upendavyo.
 
Sasa kila mtu akija na thread ya kuelezea anampenda mwanamke wa aina gani, si tutajaza server kwa hoja hizi zisizo na mashiko?
 
jerrytz Njoo Huku Wanasema Eti Umeua

Guys, lets go slow here! Kiukweli simjui huyo jamaa na hata nilichoandika nilikuwa nafanya ulinganifu tu katika dunia ya leo ambapo elimu ni muhimu sana inakuaje huyu jamaa aseme kwamba ameacha shule kwa sababu ya mwanamke?! ndio nikasema kama amekufanya uache shule vipi siku akikuacha si utajiua?! Na sidhani kama amejiua kwa kuachwa?!
Poleni wafiwa.
 
KUNA THREAD ALIJIBIWA HIVI

Reply Report Post
jerrytz 17:10 13th September
2013
Kama ulihairisha kusoma kwa ajili
ya unene wa Zena naona siku
akikupiga chini utahairisha
kuishi.....
Reply Report Post
 
Kama ni godoro mi siamini maana kuna siku alikuwa katoka kufanya interview tra akawa analalamika ilikuwa ngumu,nikamjibu lazima uone ngumu maana ulienda pale umelewa mashuzi
 
Uliacha shule wewe ovyo kweli na mshamba wa mapenzi
 
Jamaa umetisha hadi shule umeacha kiboko..mim napenda vimodel wenye sura nzuri na miguu mizuri bas.
 
Godoro, hobby zetu zinaendana....
napendaje manyama uzembe! Teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…