godoro-la-comfy
Member
- Sep 9, 2013
- 52
- 28
Kwani MKEO KAACHA KUJAMBA? sorry niswali tu
Kwani MKEO KAACHA KUJAMBA? sorry niswali tu
Unakumbukumbu we mrembo! Haya hujambo lakini?
Kwani MKEO KAACHA KUJAMBA? sorry niswali tu
Mimi sijambo. wewe je?
Nimeona niulize mkuu, maana alikuja hapa kutaka ushauri juu ya mkewe anavyo mjambia..... watu walishauri je ushauri umefanya kazi? na kaacha?Mkuu, kuna member humu wanavituko sana.
Cjambo kiasi, hizo lips "nabata ushungu"
hana lolote huyo haelewekagi kama ni Ke wala Me kwanza........
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilichanganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao.
Kweli aisee, mwembamba mimi mmmmm hapana! SEX IS NOT GOOD IN BONES