Mti ni mti na chuma ni chuma!!!!!!
Kiumeni haina kuremba na wengi hupenda a good tone na sugar coating ambayo upande huu hakuna!!!
Deducing from the thread keanly,do you mean men (us) are liars??????!!!!!!!
nikiwa kwenye hili jukwaa la MMU napenda sana ushauri wa jinsi ya kike ....sijui kwanin ila nahisi wengi wao huwa ni wakweli nikiwalingansha na ushauri kutoka upande wa kiume
Kwanza kabisa unajiaminishaje kuwa member flani ni demu au dume? Avatar au? Angalia usijeingia choo cha kike kama swahiba wangu mmoja. Alipeana kideti na member mmoja huku akidanganywa na avatar. Walipokutana jamaa nusura azimie.... Angeliwa 0713 wallah.nikiwa kwenye hili jukwaa la MMU napenda sana ushauri wa jinsi ya kike ....sijui kwanin ila nahisi wengi wao huwa ni wakweli nikiwalingansha na ushauri kutoka upande wa kiume
Mti ni mti na chuma ni chuma!!!!!!
Kiumeni haina kuremba na wengi hupenda a good tone na sugar coating ambayo upande huu hakuna!!!
Deducing from the thread keanly,do you mean men (us) are liars??????!!!!!!!
nikiwa kwenye hili jukwaa la MMU napenda sana ushauri wa jinsi ya kike ....
sijui kwanin ila nahisi wengi wao huwa ni wakweli
Kwanza kabisa unajiaminishaje kuwa member flani ni demu au dume? Avatar au? Angalia usijeingia choo cha kike kama swahiba wangu mmoja. Alipeana kideti na member mmoja huku akidanganywa na avatar. Walipokutana jamaa nusura azimie.... Angeliwa 0713 wallah.
Haya Kongosho njoo uwaambie watu jinsia yako haraka.
nikiwa kwenye hili jukwaa la MMU napenda sana ushauri wa jinsi ya kike ....sijui kwanin ila nahisi wengi wao huwa ni wakweli nikiwalingansha na ushauri kutoka upande wa kiume