Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
Teh teh..atandike sebuleni kama vitambaaNjoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
Inaonekana unazipenda kuliko mkeo,kwanini uliingia gharama kulipia mahari wakati ungeenda dukani ukanunua dazeni moja zingekupa faraja sana nyumbani,kwenye gari,ofisini na ikibidi uwe unatembea nayo mfukoni!
Ni Sawa Ila Padlock Zinaniua Mie
Kama wapenda, itabidi uitumie kama kitambaa cha kufutia jasho ili walimwengu wajue kama unazipenda
Njoo ununue mi naziuza zile za kisistadu na viboksa
Unatandika kwenye makochi yako ukikaa unaziona
chumbani pia unaweka!
Nitakuuzia kwa bei ya kutupa!!
Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
mamaa.... mbavu zangu....
Teh teh..atandike sebuleni kama vitambaa
Umenichekesha Sana.