Mkuu hujakosea na wala haya matatizo unayoyaona hutajuta kwasababu hukuharibu kura yako kwani ni makosa makubwa kulaumu hali mbaya ya maisha wakati uliwapa kura sisi ndio tunatakiwa kulaumu hali mbaya kwasababu hatukuwapa hao magamba kwi! kwi! kwi! kwi!