Napenda ccm na si tanzania

Napenda ccm na si tanzania

MALOLO

Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
15
Reaction score
2
Kuiba hela za serikali kwa ajili ya chama na wanachama wa ccm kwa ajili ya familia zao. ni dhahiri tunaamini bila Tanzania ccm itakuwepo. wale wenye uzalendo na wanaweza kufikiri walau hata kidogo hawanampango na ccm tena. mliopumbazwa na watawala ili msione fungukeni tunusuru nchi kutoka kwenye mfumo usiotazama tanzania bora. nchi inaduma ndugu
 
Ndg yangu Chama Kinakufa lakini Taifa halifi.Mfano baada tu ya Uchanguzi mkuu 2015, CCM itakuwa mahututi na baadae LAZIMA ife kabisa, lakini Tanzania letu Chini ya UKAWA ndo itakuwa inamelemeta huku Tukiwa na sera za uwazi na Ukweli na Misaada ikitiririka bila hata kuombwa toka kwa wafadhili walioishitukia CCM na serikali yake. Ukweli ni mchungu lakini CCM inayoenda kufa si zaidi 2016.
 
Back
Top Bottom