Yani Mzumbe nimewadharau sana! Inakuwa vipi kilaza kama NAPE wanamtunuku shahada ya Uzamili?! Mwenye Dessertation yake tunaomba muiweke hapa jamvini tuisome na tuijadili maana ukishatunukiwa hiyo shahada kazi yako ya Dessertation inakuwa matter of Public na siyo siri tena!