Madimbaone
Member
- Feb 19, 2016
- 16
- 6
Kiungozi anaeachia madaraka pale muda wake ukifika
bila kushinikizwa ni kiongozi bora.
Kwa bara letu la Africa. hii unayosema haina nafasi, inabidi ulazimishwe tu utoke....Kiungozi anaeachia madaraka pale muda wake ukifika
bila kushinikizwa ni kiongozi bora.
Kuirudisha au kuibakisha madarakani? kwani CCM ilishawahi kutoka madarakani? Au wakati wa uchaguzi CCM ilitoka kidogo madarakani?Nimeikuta mahali hii!
"Kazi niliyotumwa na WanaCCM ya kuirudisha CCM madarakani Bara na Visiwani, nimeikamilisha kwa uaminifu!! Dr. Shein kaapa Rasmi kuwa Rais wa Zanzibar! Sasa niko tayari kustaafu Ukatibu Mwenezi na Itikadi wa Chama changu!! Nawashukuru wote kwa msaada wenu!!"
Hongera Nape. Umevipiga vita vizuri vya kisiasa, kazi umeimaliza, umeilinda ccm na anguko la aibu na nafasi uliyopewa umestahili. Kama wanae Alexander the Great, sisi tuna wewe Nape the Great. Kiboko ya mafisadi, kiboko ya upinzani. Kila la heri.
Hapo kwenye bold, ili kuweka kumbukumbu sawa naomba ufanye hivi; weka hapa majina ya mafisadi 10 na utwambie wako chama gani?Hongera Nape. Umevipiga vita vizuri vya kisiasa, kazi umeimaliza, umeilinda ccm na anguko la aibu na nafasi uliyopewa umestahili. Kama wanae Alexander the Great, sisi tuna wewe Nape the Great. Kiboko ya mafisadi, kiboko ya upinzani. Kila la heri.
Kwa iyo Sasa lile tui la nazi ni kiongozi bora!!!! Waliosema ccm aliondoka nae mwl nyerere hawakukoseaKiungozi anaeachia madaraka pale muda wake ukifika
bila kushinikizwa ni kiongozi bora.