Wachumia tumbo hao na ccm yao ya kubumbaNajua nafasi uliyonayo ni nafasi za watoto wa vigogo ila hilo tuachanenalo...ndugu yangu nape kazi unayofanya kukiimarisha chama chako kwa mikutano na maandamano ni kazi bure..nini serekali yako ya ccm ifanye ilikukiimarisha chama:-(1)kupambana na mfumuko wa bei ya vyakula na huduma za msingi zinazomgusa mwananchi moja kwa moja(2)kuongeza pato la mtu mmoja mmoja,hii hasa kwa wafanyakazi,wapeni mishahara itakayowawezesha kuishi,tofauti na hapo hawa ndo watakaowamaliza 2015...............mkilifanikisha hili nakuapia hamtapata upinzani wowote
Counter attacks za CCM kwa CHADEMA zilipaswa zije na maudhui ya utofauti kati ya chama Tawala na Chama Kilicho nje ya Utawala. Badala ya kwenda kwa mkakati wa kushambulia majukwaani, CCM ingeshambulia kero na matatizo yanayoipa CHADEMA nguvu majukwaani na mitaani.
CCM ingelipiza kwa kutafuta suluhisho na kuondoa matatizo yanayozidi kuwa sugu na ambayo kwa vyovyote yataleta madhara makubwa kwa jamii na Taifa siku si nyingi.
Kwa mfano;
- CCM ingejidhatiti katika kubuni na kutekeleza mikakati inaokabiliana au kutoa suluhisho la changamoto ya ajira hasa kwa vijana (Nape Jr tuwasiliane kwenye hili).
- CCM ingehakikisha gharama za maisha hazipandi kupitia utekelezaji wa sera na maagizo ambayo imekuwa ikitoa
Hivi vitu vikifanyika wala huitaji kwenda majukwaani ili uwafundishe watu uongo wa CHADEMA. Watanzania wa sasa wana macho yanayoona, masikio yanayosikia, akili zinazochambua mambo na utashi katika maamuzi. Suala la CCM nao kwenda na maneno matupu ilihali tayari wana dola, ni kumwongezea CHADEMA "Benefit of Doubt" kwamba labda huyu anaweza kufanya kweli akipewa dola.
Wanachokisema CHADEMA si kigeni; CCM pia inakijua, Lowassa anakijua na Mh. Rais naye anakijua tena kwa ufasaha kupiti Ripoti Maalumu ya Uchumi aliyopewa mwaka 2007.
Bora serikali ya ccm ikaonekana inasaidiwa/inaamshwa na wapinzani kufikiri/kutenda kuliko kukataa mapendekezo yao, huku isifanye lolote kubadili hali mbaya kwenye jamii. Yale yanayotekelezeka na kuleta ustawi kwa Watanzania yapokelewe. Mfano, Mkapa alikubali kuondoa kodi ya kichwa (hii ilikuwa sera ya CUF) lakini ilileta unafuu na kuwanufaisha Watanzania wote.
Iwapo ccm watakuwa wakifanyia kazi kwa vitendo, haraka na ufasaha mambo ya msingi yanayoipaisha CHADEMA, nguvu ya CHADEMA na mvuto kwa wananchi unaweza kukabilika. Maana kwa mbinu hii CHADEMA watabaki kuonekana kama WanadharE Kia na CCM kama Watendaji.
Tunajenga nchi moja.[/ASANT
NTE KWA
ASA ASANTE KWA KUONGEZA NYAMA..MWENYE MASIKIO NA ASIKIE

Tunajenga nchi moja.
ASANTE KWA KUONGEZA NYAMA..MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Najua nafasi uliyonayo ni nafasi za watoto wa vigogo ila hilo tuachane nalo.
Ndugu yangu nape kazi unayofanya kukiimarisha chama chako kwa mikutano na maandamano ni kazi bure. Nini serikali yako ya CCM ifanye ilikukiimarisha chama:-
(1)kupambana na mfumuko wa bei ya vyakula na huduma za msingi zinazomgusa mwananchi moja kwa moja.
(2)kuongeza pato la mtu mmoja mmoja, hii hasa kwa wafanyakazi,wapeni mishahara itakayowawezesha kuishi,tofauti na hapo hawa ndo watakaowamaliza 2015...mkilifanikisha hili nakuapia hamtapata upinzani wowote

Nape na wenzake wanajua yote hayo ILA Upeo wao wa kuyashughulikia na serikali yao ndo umefikia hapo.
Kama unategemea mengine utasubiri saana tu.
JAMANI yale yanayohitaji rasilimali fedha, serikali haina.
Mfumo wa bei kwa mfano kuutatua to some extent unahitaji subsidy kwa Importers wa mafuta, fedha ambayo haipo.
too late..