Nape unamuonea tu Judge Lubuva.Judge alishasema hakuna UCHAGUZI wala KURA YA MAONI bila daftari jipya la wapiga KURA.Ninakumbukumbu nzuri tu za bwana mropokaji Nape Nnauye..ambaye aliwahi kusema CCM haihitaji BVR machine na mnataka daftari la awali lifanyiwe marekebisho tu na kura ziendelee Judge aliwakatalia,sasa kwa kisasi mlichozoea mlimfanyia makusudi hamkumpa pesa za kutosha ili aweze kuagiza machine hizo za kutosha.Pili mkijua wazi kabisa wataandikishwa watanzania wengi,hata Balozi wa Sweeden alipotoa offer ya kusupply vifaa na si pesa mlimpinga.na mkawaambia mnazopesa za kutosha kuagiza.Nape serikali iliyojaa rushwa na ubadhirifu chini ya WM mlijua mnachokifanya 10% kwanza Taifa baadaye.
Nape ungeanza na watu hawa kwanza:
1.Waziri Mkuu Peter Mizengwe Pinda.
2.Waziri wa Fedha Saada Mkuya.
3.Mwenyekiti wako wa chama cha Mafisadi.
Baada ya hawa watatu ndiyo labda tena nasema labda ungerudi kwa Judge Lubuva.
Bahati mbaya Mungu ameshawatia UPOFU wa kujua mema na mabaya.