Nape na Mwigulu ni ndugu, sio maswahiba kwa sababu ya CCM

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Naomba nikiri tu kusema kuwa hawa wote ni ndugu zangu kabisa, sitaki kuwatetea kwakua ni ndugu bali uhalisia Siku zote humuweka mtu huru, hawa wote ni ma-homeboys wangu na ni lazima niwatee kwa kile ninachokifahamu.

Nape na Mwigulu mama zao wote ni wazaliwa wa mkoa wa Singida, wazai wao ni exparts wa mkoa wa Sngida. Ningeshangaa sana kuona ndugu yangu Mwigulu angekaa kimya kutokusema kitu huku ndugu yake akionewa ilihali historia zao na vinasaba haviwezi kuwatenganisha, Pia hawa wote wawili michango na mikajati yao ndani ya CCM ndiyo iliyozaa serikali ya sasa.Makosa ya Nape hayakutosha kuvuliwa uwaziri kiuhalisia yasingeweza kuacha kugusa hisia za ndugu yake Mwigulu never, hata kama ningekua mimi.

Nisiwaaminishe kwamba Maagizo ya Mwigulu kuagiza yule polisi aliyemtolea Mh Nape bastola yanasukumwa na undugu wao hapana, ifahamike kua polisi alifanya kosa kubwa sana na waziri ilikua lazima achukue hatua.Mwigulu hawezi hata Siku moja kubeza hisia na minung'uniko ya Mh Nape, anaelewa walipotoka.Huo ndio ukweli!

Kwahiyo tuache hisia zisizokua na mashiko, Mimi hata Mwigulu akisema haoni tabu kuachia ngazi juu ya uwaziri wake kutokana na hisia zake juu ya kuonewa kwa Nape ni sawa tu, kwani kuachia ngazi kwa Mwigulu pengine kunaweza kumuweka huru zaidi kuliko kukalia cheo cha masimango.Mtu anaposema kua sipangiwi cha kufanya nilienda kuchukua fomu mwenyewe hayo yote ni masimango kwa watu waliopigania chama.
 
Sasa wewe uko upande gani?
 
Ngoja wakusikie wale wachumia tumbo wa pale Lumumba, sasa hivi wanamkashifu Nape wamesahau kuwa ndiyo alikuwa paymaster wao kwenye kitengo cha LBK7.
 
Back
Top Bottom