Kwenye Biblia kuna kisa cha kijana mmoja Reheboamu ambaye alitawala badala ya baba yake Sulemani, akaenda kwa wazee wakampa ushauri kwamba utupunguzie kongwa alilotuwekea baba yako nasi tutakumikia kwa moyo wote.
Akawaambia wale wazee mje baada ya siku tatu nitawajibu.Baadae akaenda kwa vijana wakamwambia usikubali ushauri wa wale wazee kaza buti kama baba yako aliwatoza kodi mara moja iaongeze mara dufu, kama aliwapiga kwa fimbo watandike kwa mjeledi.
Akakataa shauri la wazee akaambatana na vijana watu wote walimkimbia wakaamua watawaliwe na mtumwa wa Sulemani anayeitwa Reroboamu badala ya mtoto wa mfalme na matokeo yake yalikuwa mabaya sana na nchi ikagawanyika mara mbili kwa ajili ya kijana kufikiri anajua sana na kuhisi yeye ndiye mwenye akili kuliko wote.
Nape na Makamba ni vijana hatari wanadhani kwamba wao ni bora kuliko watanzania wote na wanafikiri kwamba nchi hii ni yao wenyewe wala siyo ya watanzania wote. Matokea yatakuwa mabaya kwani wanaweza kupelekea nchi hii kuingia kwenye machafuko soma 1 wafalme 12:1-20.