Nape mchape mwanao anaejisaidia juu ya choo,sio umsfie eti ni msafi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kuna clip inatembea kwenye mitandao Mh Nape akimshukuru Rais eti amefuta tozo yaani

Kitu kibaya alikianizisha yeye alafu amekiondoa yeye mwenyewe alafu anasifiwa?
Mh mtoto wako akinya juu ya choo alafu akapangusa kinyesi chake unamsifia Kwa huyo mwanao makalio yake hayana shabaha ya kulenga shimo la choo? Ama mwanao makalio yake Yana matege na makengeza?tafakAri chukua hatua.
 
Tozo ipi imefutwa!!!? Mleta mada hili suala halihitaji coded massage!!!
====
Zima Umeme uwashe useme ni fundi makini!!!
 
Kuna clip inatembea kwenye mitandao Mh Nape akimshukuru Rais eti amefuta tozo yaani

Kitu kibaya alikianizisha yeye alafu amekiondoa yeye mwenyewe alafu anasifiwa?
Mh mtoto wako akinya juu ya choo alafu akapangusa kinyesi chake unamsifia Kwa huyo mwanao makalio yake hayana shabaha ya kulenga shimo la choo? Ama mwanao makalio yake Yana matege na makengeza?tafakAri chukua hatua.
Who's create a probes, and then later same guys will come out to solve that probes and claimin' some praise!!🤣🤣🤣🤣 That's CCM!!!
 
Back
Top Bottom