matungusha JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 594 Reaction score 128 Jul 30, 2011 #21 Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... hizo masters wanapewa coz ni magamba yule angeshikwa...
Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... hizo masters wanapewa coz ni magamba yule angeshikwa...
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,291 Jul 30, 2011 #22 Anayoyafanya Nape muda si mrefu watanzania wataelewa.Ila 2015 CCM chali wapende wasipende kwani wanatetea uharamia wa rasilimali za nchi.
Anayoyafanya Nape muda si mrefu watanzania wataelewa.Ila 2015 CCM chali wapende wasipende kwani wanatetea uharamia wa rasilimali za nchi.
Elinasi Member Joined Sep 3, 2010 Posts 64 Reaction score 3 Jul 30, 2011 #23 koo limekauka,anakunywa maji kwanza
nditolo JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 3,802 Reaction score 4,459 Jul 30, 2011 #24 Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... Master gani yule labda 'mposi'
Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... Master gani yule labda 'mposi'
Mindi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2008 Posts 3,523 Reaction score 4,998 Jul 30, 2011 #25 Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... Du! huyu bwana mdogo ana akili sana. keshagundua kwamba unahitaji kuwa na Masters degree na kisha PhD ... eeh, how about Dr. Nape Nnauye? hapo hata ukiongea utumbo kiasi gani, watu wataamini na kukuheshimu! hii ni bongo ati!
Obe said: Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape Click to expand... Du! huyu bwana mdogo ana akili sana. keshagundua kwamba unahitaji kuwa na Masters degree na kisha PhD ... eeh, how about Dr. Nape Nnauye? hapo hata ukiongea utumbo kiasi gani, watu wataamini na kukuheshimu! hii ni bongo ati!