Tatizo la Nape ni kufanya kazi kama mbunge wa wasanii na wanahabari badala ya waliomchagua. Utashangiliwa sana na hao, lakini hilo haikuwa kazi yako, jimboni. Ubunge ni kazi ya kuridhisha wapiga kura, lakini uwaziri ni kuridhisha aliyekuteua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.