S sem2708 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,821 Reaction score 4,970 Jul 12, 2015 #21 Naamini hata mkuu ameumizwa. Naamini magufuli sio chaguo lake.
Jihan Senior Member Joined Jul 11, 2015 Posts 146 Reaction score 68 Jul 12, 2015 #22 MUSIGAJI said: Mkuu walikuwa amehakikishiwa kwa jua na mvua atapitishwa.Kulamba matapishi ni kawaida Mkuu atawatafuta wazee Fulani atasema wamemfuata kumuombs arejee Click to expand... Lol! mkuu hilo ni kweli, sio ajabu tukasikia hivyo maana hawa watu kwa sanaa tu wana PhD.
MUSIGAJI said: Mkuu walikuwa amehakikishiwa kwa jua na mvua atapitishwa.Kulamba matapishi ni kawaida Mkuu atawatafuta wazee Fulani atasema wamemfuata kumuombs arejee Click to expand... Lol! mkuu hilo ni kweli, sio ajabu tukasikia hivyo maana hawa watu kwa sanaa tu wana PhD.
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Jul 12, 2015 #23 sem2708 said: Naamini hata mkuu ameumizwa. Naamini magufuli sio chaguo lake. Click to expand... humjui Kikwete vizuri. ukitaka kumjua vizuri wauliza rostam, sitta na lowassa watakuambia jamaa ni nani. chezea kijana aliyezaliwa pale kariakoo weye. kiboko ya Kikwete ni mmoja tu, nyoka wa makengeza. jamaa kamgwaya!
sem2708 said: Naamini hata mkuu ameumizwa. Naamini magufuli sio chaguo lake. Click to expand... humjui Kikwete vizuri. ukitaka kumjua vizuri wauliza rostam, sitta na lowassa watakuambia jamaa ni nani. chezea kijana aliyezaliwa pale kariakoo weye. kiboko ya Kikwete ni mmoja tu, nyoka wa makengeza. jamaa kamgwaya!
N Nick bilauri Member Joined May 19, 2015 Posts 38 Reaction score 1 Jul 12, 2015 #24 bukoba boy said: Aende jimbo la mpunga. Click to expand... Au vp bwana