Nape kuwa na akiba ya maneno, acha uswahili wewe kumbuka ni kiongozi wa Serikali

Hivi kweli unawezaje kuita wenzako viroboto kama mnavyojuwa sifa za hao wa dudu ni kuuma na hupenda kukaa sehemu chafu...
Duh kweli mtu unaweza kukubali kuwakanyaga kwa kupita juu yao binaadamu wenzako. ??! Kweli watu wanamjaribu sana Muumba.
 
Ni upumbavu mtupu wanawake wengi jimboni waliona amefanya mambo ya hovyo hata kama aliwapa posho haipo sawa! Na yeye bila kufikri akawakanyaga na maviatu tatizo huyo kijana anajiona bora kuliko wengine. Raisi sa100 hana maneno na mtu lakini chawa wake sasa ni hatari.
 
Huyu waziri siku zote ni mropokaji! Hana ndhamu! wala sio smart hata chembe ktk kazi zake.
Hakustahili kukalia kiti ktk ofisi za umma kabisa kwani hana sifa hata chembe kukalia hivyo viti.
Lakini mimi sina shida na nape nanachokionana ni Ofisi kuu ikulu kumona ni mtu mwenye tija acha tuwe na subira tuone panaponyesha
 
Binafsi, kiukweli kabisa sikuridhishwa na maamuzi ya Rais Sa100 kumrudisha Nape wizarani...hana maajabu hata kdg, mwingine ni Jenista Mhagama.
Moja ya maamuzi yaliyonifanya niione serikali awamu ya 6 haiko serious.
Ukijumlisha na makama na januari. Ndi kete zilizoishusha hadhi ya awamu 6
 
Tuache makasiriko na tupambane na hali zetu wakuu, hata wewe mtoa mada ungelikuwa kwenye nafasi yake Mkuu hakika ungelifanya the same.
Tujaribu kufocus na issues muhimu kukwamua family zetu(yako)
Tuache blah blah
Kwahiyo tusikosoane, mwenzetu akikosea tumuangalie sio?
 
Ccm inamiki maisha yetu mkuu! Wao nadio wanatoa Raisi na Watendaji wote. Mfano halisi leo tunalia na mtozo.

Lemmi tell u something broo.. kinachoendelea at this moment ni visasi!! Ni mengi utayaona mkuu ndomana nikasema tupambane na life zetu hayo mambo tuwaachie juu hawawezi kuwa madarakani milele
 
Binafsi, kiukweli kabisa sikuridhishwa na maamuzi ya Rais Sa100 kumrudisha Nape wizarani...hana maajabu hata kdg, mwingine ni Jenista Mhagama.
Moja ya maamuzi yaliyonifanya niione serikali awamu ya 6 haiko serious.
Aliyemrudisha Nape yupo anachekacheka 24/7....
 
Back
Top Bottom