Nape kuunguruma Moro kesho,

Nape kuunguruma Moro kesho,

Maudodo

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
30
Reaction score
16
Nape kesho anatarajiwa kuelezea namna Chadema wanavyopokea fedha za kifedhuli kutoka kwa wakoloni. Ni katika mkutano wa hadhara Morogoro kesho Jumapili.
 
Nilidhani hii ni ziara ya katibu mkuu wa ccm hivyo kiprotokali focus iwe kwa Kinana na si tofauti
 
Kila mmoja ananafasi yake, wote wataunguruma, wakati Katibu Mkuu akipokea mwanachama mpya ambaye ni Mbunge wa Chadema, Nape atatema cheche Kwenye mambo ya utekelezaji aw Ilani ya uchaguzi
 
Inatakiwa hawa viongozi wetu waeleze sera za Chama chao na kutueleza ahadi za rais zimetekelezeka kwa kiasi gani hadi sasa na nini mkakati wa chama sio kutueleza Habari za CHADEMA kwani zinatusaidiaje Wananchi??
 
ok, Ndiyo ametoka LOLIONDO? kule imekuwaje kwani, au..... na jee ivi ile kesi ya bn tatu anazodaiwa na chadema imefikia wapi kashalipa??
 
huyo mbunge wamemnunua kwa shiling ngap?
 
Inatakiwa hawa viongozi wetu waeleze sera za Chama chao na kutueleza ahadi za rais zimetekelezeka kwa kiasi gani hadi sasa na nini mkakati wa chama sio kutueleza Habari za CHADEMA kwani zinatusaidiaje Wananchi??
Mkuu ni kweli kabisa.badala waelezee. Kuhusi mikakati ya chama chao wao wanatusaidia ku promote chadema. Agenda yao kuu ni chadema
 
Bora awaachie chama chenu!mana ruzuku zinapelekwa kwa wabunge wa kaskazin
 
Back
Top Bottom