Nape: Hatuisaidii ACT Wazalendo!

Hahaa mapigo tunayowapa ni mazito lazima wapige kelele

Kweli kamanda Yeriko wanadhani tunaishi kwenye ujima, siku hizi ni vigumu sana kuficha kitu maana teknolojia imekuwa sana. Fukua kamanda waijibebe!
 
ni kweli ccm haiisaidii act lakini wanaccm wanaisaidia ccm kwa fedha na ushabiki. wanaccm watakiua chama chao kwa kukitetea chama kingine. fisadi mamvii, fisadi rostam na fisadi kalamagi ndio wafadhili wa muslim brotherhood.
 
Mnataka kuniambia na wale watu wanaoenda kwenye mikutano ya Zitto ni wana ccm?

Ndo maanake mkuu. Wale wanahamasishwa kutoka matawi ya nyinyiemu. Ndo maana watakaoathirika kupoteza ni nyinyiemu na si CDM.
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa, 'Ukitupa jiwe katikati ya mbwa wengi, atakayepiga kelele/kubweka ujue ndiye aliyepigwa na hilo jiwe', jiwe limempata Nape na CCM yake ndiyo maana amepiga kelele. Jiwe limempata mhusika, akaona kumbe watu wamekwishautambua ufadhili wetu kwa ACT.

 
Kweli mkuu wewe angalia hata hapa jamiiforamu ni mfano mzuri sana kina rutashobola assadsiria, simiyu,msalani na mabuku 7 wote embu walete mfano hata mmoja wao ambae yupo against act wote eanafanya kazi ya haka kachama ka kisaliti kama hamuamini fualieni na mfanye uchunguzi huo ndo ukweli hata kwenye mikutano ndio wanaojazwa huko team b ya malory kazini tena.
 
mbona hasimami akasema ni kweli tunavisaidia vyama kama chadema na vingine kwa kuvipa ruzuku?tangu chadema iliwahi kusema ukweli kwa wananchi........!ccm daimaaa
 

Thanks mkuu
 

W ulitaka wapigie debe cdm au?nchi unaongozwa kw democrasia n uamuz wa mtu kushabikia ama kujiunga na chama chochote ila asivunje sheria tu,bnafis cshangai maana sera ya cdm n kupora uhuru wa mtu,pia ukifata uhuru nje ya chama unaitwa msaliti
 

Kwa uwelewa wako angekuja hapa kukiri kukifadhili ili iweje ulishawahi kumwona mtu kauwa akija kukiri humu kauwa.
 
Ukitaka kuchafuka ingia kwenye siasa.huwa nacheka sana Nape kuambiwa amezaliwa kipindi cha mbio za Mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…