Wajumbe, naomba niwathibishie kwamba maneno aliyoyasema Waziri Nape Nnauye kuhusu ushindi katika uchaguzi siyo mzahaa. Hatanii, Nape ni jambazi la kura.
Katika uchaguzi wa 2020 aliyekuwa mgombea wa Chadema jimbo la Mtama Ndugu Mathew alive alitekwa na watu, "wanaojulikana" saa chache kabla ya muda wa kurejesha fomu kuisha yaani saa kumi alasiri. Kijana huyu aliachiwa baada ya saa kumi na hivyo kukosa fifa za kugombea na hivyo Nape kupita bila kupingwa. Aibu!
Baada ya kuhenyeshwa na Magufuli kwa uongozi wa ujanja ujanja hatimaye Magufuli akafariki katika kifo tata had leo Wasukuma hawajaambiwa ni nini hasa kilimuua ndugu yao lakini Nape akisema, "Mungu ameamua ugomvi". Akamshirikisha Mungu kwenye suala la uovu wake.
Leo Nape anamfundisha kada mwenzie namna ya kushinda uchaguzi kihalifu lakini pia akimshirikisha Mungu. Ibilisi!
Naomba nikiri mbele yenu wana-Jamii Forum kwamba Nape amewahi kunipigia simu kwa kunishambulia na kudai kwamba, "namshambulia hapa jimboni Mtana". Lakini katika maneno yake yote ya kejeli, shombo, matusi kwangu pia aliniambia maneno yafuatayo;
"Usidhani sikufuatilii unavyonishambulia. Lakini nikuhakikishie kwamba Ubunge wa Mtama nitaacha kwa hiari yangu 2030". Pigia mstari maneno "KWA HIARI YANGU". Nini kinampa kiburi na jeuri Nape kuachia jimbo kwa hiari yake? Je, 2025 nani mwingine atatekwa?
Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama havichunguzi kauli kama hizi. Kwa nini kama wapiga kura wasioone kwamba kauli hii inatosha kabisa kumfurusha Nape uongozini maana amemchafua hata mteuzi wake. Kama waziri anajua mbinu haramu za kupoka haki za watu (kura) kwa nini tusiamini ndiyo taswira halisi ya Bosi wake. Nape asipuuzwe wala kulifanyia mzaha kauli hii. Anamaanisha!
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Ni kweli cdm hawajakomaa kwenye siasa za kipuuzi, hivyo itabidi wasubiri hadi wakomae.Chadema, subirini 2200 jifunzeni kwanza siasa. Bado hamjakomaa.
Kwa maneno marahisi unataka kuhalalisha kupata nafasi kwa kupora.Dunia sio paradiso. Unaweza kuwa unapambana sana kutafuta kipato halali kwa jasho lako mwenyewe lakini ukakumbana na majambazi wakakudhuru au hata kukuua kwa lengo la kukupora hiyo hiyo halali yako mwenyewe.
Ujamaa aliondoka nao mwalimu Nyerere.
Ndio Dunia ilivyo, ndio uhalisia, ni maamuzi yako kukubali au kukataaKwa maneno marahisi unataka kuhalalisha kupata nafasi kwa kupora.
Pambaaaf shiriki ukomavu.. au anzisha ukomavu wakoNi kweli cdm hawajakomaa kwenye siasa za kipuuzi, hivyo itabidi wasubiri hadi wakomae.
Hehehe
HakikaNi kweli cdm hawajakomaa kwenye siasa za kipuuzi, hivyo itabidi wasubiri hadi wakomae.
Hayo ni maneno ya kejeli kutoka Kwa Mama yenu..........Chadema, subirini 2200 jifunzeni kwanza siasa. Bado hamjakomaa.
Nimeshangaa na Faiza Foxy anayejitanabaisha kama mwana Maadili anashangilia upuuzi kama huo.Hayo ni maneno ya kejeli kutoka Kwa Mama yenu..........
Hivi wao wanaojiita Wana uzoefu wa kuongoza, uzoefu wenyewe ndiyo huo wa kuiba kura Kwa kutumia vyombo vya Dola vya Polisi??
Hayo ni malalamiko ya mwizi. Mwizi kila afanyalo anaona anaibiwa tu.Hayo ni maneno ya kejeli kutoka Kwa Mama yenu..........
Hivi wao wanaojiita Wana uzoefu wa kuongoza, uzoefu wenyewe ndiyo huo wa kuiba kura Kwa kutumia vyombo vya Dola vya Polisi??
Kwahiyo unaunga mkono upuuzi wa Nape kwa kupigania ajira yake kwa uhuni na upuuzi? Hivi nyie machawa nani kawaroga? Hopeless kabsaSiasa ni ajira, kupata ajira ni mpambano wa kufa mtu, mwenye nguvu na ujasiri na Ari na kutokukata tamaa anapata anachokipigania
Ndio maana watanzania tutaendelea kuwa mafukara mpaka tujitambue kama Kenya.Wajumbe, naomba niwathibishie kwamba maneno aliyoyasema Waziri Nape Nnauye kuhusu ushindi katika uchaguzi siyo mzahaa. Hatanii, Nape ni jambazi la kura.
Katika uchaguzi wa 2020 aliyekuwa mgombea wa Chadema jimbo la Mtama Ndugu Mathew alive alitekwa na watu, "wanaojulikana" saa chache kabla ya muda wa kurejesha fomu kuisha yaani saa kumi alasiri. Kijana huyu aliachiwa baada ya saa kumi na hivyo kukosa fifa za kugombea na hivyo Nape kupita bila kupingwa. Aibu!
Baada ya kuhenyeshwa na Magufuli kwa uongozi wa ujanja ujanja hatimaye Magufuli akafariki katika kifo tata had leo Wasukuma hawajaambiwa ni nini hasa kilimuua ndugu yao lakini Nape akisema, "Mungu ameamua ugomvi". Akamshirikisha Mungu kwenye suala la uovu wake.
Leo Nape anamfundisha kada mwenzie namna ya kushinda uchaguzi kihalifu lakini pia akimshirikisha Mungu. Ibilisi!
Naomba nikiri mbele yenu wana-Jamii Forum kwamba Nape amewahi kunipigia simu kwa kunishambulia na kudai kwamba, "namshambulia hapa jimboni Mtana". Lakini katika maneno yake yote ya kejeli, shombo, matusi kwangu pia aliniambia maneno yafuatayo;
"Usidhani sikufuatilii unavyonishambulia. Lakini nikuhakikishie kwamba Ubunge wa Mtama nitaacha kwa hiari yangu 2030". Pigia mstari maneno "KWA HIARI YANGU". Nini kinampa kiburi na jeuri Nape kuachia jimbo kwa hiari yake? Je, 2025 nani mwingine atatekwa?
Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama havichunguzi kauli kama hizi. Kwa nini kama wapiga kura wasioone kwamba kauli hii inatosha kabisa kumfurusha Nape uongozini maana amemchafua hata mteuzi wake. Kama waziri anajua mbinu haramu za kupoka haki za watu (kura) kwa nini tusiamini ndiyo taswira halisi ya Bosi wake. Nape asipuuzwe wala kulifanyia mzaha kauli hii. Anamaanisha!
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Tatizo mpaka wakuu wa vyombo vya usalama wameteuliwa na raisi ambae pia ni mwenyekiti wa ccm . Kwahiyo inawezekana hayo anayoyasema kayatoa kwenye chama chaoKwa nini vyombo vya ulinzi na usalama havichunguzi kauli kama hizi. Kwa nini
jibu ni kuwa huko wamejaa wenye kadi za chama. Ngumu kujiharibia ulaji
Sanawachaga ni wakuogopwa kama ukoma. Hujakosea.