Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,437
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.
Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
Hajui asemalo huyo poyoyo, kila siku anaibuka na jambo jipya!!! Roman Empire, ilikuwa dola kubwa iliyotawala almost Europe yote na Asia, lakini ilianguka, sembuse nyinyiem?? Hili jamaa cjui linafuzu uchizi au nini maanake? Soon atakuwa chizi kamili.
huyu jamaa ikitokea muujiza akahamia chadema. itabidi abaki kuwa member tu... hastaili kupewa hata uwakilishi wa chama kwa ngazi ya shina. yaan hajui anachokiongea... tumuonee huruma tu tumwache labda ipo siku atajitambua.