Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 557
- 1,544
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimevipongeza vyama vingine vya siasa nchini kwa ushiriki wao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwataka waongeze kasi kwani ushindi wao wa asilimia 14% hadi sasa ni mdogo ukilinganisha umri wa mfumo wa vyama vingi nchini ambao ni miaka 20