Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,060 Dec 6, 2012 #21 kumbe wanashindana!!!!
waubani JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 542 Reaction score 211 Dec 6, 2012 #22 hata mkitembea wawili mmoja kavaa SUTI na mwingine yupo UCHI, watu watamjadili aliye uchi. Nape ni kituko cha chama ndio maana watu wanamzungumzia zaidi, sio kwamba ni wamaana sana kwa kuropoka kwake.
hata mkitembea wawili mmoja kavaa SUTI na mwingine yupo UCHI, watu watamjadili aliye uchi. Nape ni kituko cha chama ndio maana watu wanamzungumzia zaidi, sio kwamba ni wamaana sana kwa kuropoka kwake.
K Kwameh JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 1,793 Reaction score 2,160 Dec 6, 2012 #23 Safari_ni_Safari said: mmoja dereva(Kinana) mwingine kondakta aka mpiga debe (Nape).........kazi ya kuita abiria sio ya dereva Click to expand... dereva ni Kikwete, konda ni Kinana, mpiga debe ni teja NAPE linabaki hapo hapo kituoni lina move from one dala dala to the next mara CCJ mara CCM
Safari_ni_Safari said: mmoja dereva(Kinana) mwingine kondakta aka mpiga debe (Nape).........kazi ya kuita abiria sio ya dereva Click to expand... dereva ni Kikwete, konda ni Kinana, mpiga debe ni teja NAPE linabaki hapo hapo kituoni lina move from one dala dala to the next mara CCJ mara CCM
Songoro JF-Expert Member Joined May 27, 2009 Posts 4,122 Reaction score 1,022 Dec 6, 2012 #24 Kama vimaneno vinaleta ushindi hivi sasa msingekuwa mnabanana pale manyanya, kata 29 mmepata 5 mnajiliwaza mmeshida hata, 2015 mkiongeza wabunge 3 mtajidai mme improve, subirini nginjanginja takatifu 2015!
Kama vimaneno vinaleta ushindi hivi sasa msingekuwa mnabanana pale manyanya, kata 29 mmepata 5 mnajiliwaza mmeshida hata, 2015 mkiongeza wabunge 3 mtajidai mme improve, subirini nginjanginja takatifu 2015!
Losomich JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 371 Reaction score 71 Dec 7, 2012 #25 Ha, Nape bana utadhani mwana wa haramu vile.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Dec 12, 2012 #26 meningitis said: hata mukama alikuwa dereva mzuri akiongozwa na huyu mpiga debe Click to expand... Tatizo la "dereva" Mukama alikuwa nae anashuka kituoni kuita abiria pia na wakati mwingine kugombana na kondakta wake .........wastage of time
meningitis said: hata mukama alikuwa dereva mzuri akiongozwa na huyu mpiga debe Click to expand... Tatizo la "dereva" Mukama alikuwa nae anashuka kituoni kuita abiria pia na wakati mwingine kugombana na kondakta wake .........wastage of time
brasy coco JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 1,489 Reaction score 900 Dec 12, 2012 #27 nna shida na Nape sijui ntampataje Mh: