Suleiman mathias
Member
- Apr 3, 2012
- 28
- 7
Pro-Chadema JF mpo hoi badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape.
Wana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi ungano wa Tanzania na Zanzibar kama maazimio yao ya chama,hivi kweli Tanzania iliungana na Zanzibar au ndio muendelezo wa uvuvuzela wao?
Nawasilisha
Pro-Chadema JF mpo hoi badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape.
sasa mbona wewe umekosea?'umeasiriwa' ndo kiswahili cha wapi.siku nyingine sema umeathiriwa.sikushangai sana Ritz kwani uwezo wako wa kufikiri umeasiriwa kwa kiasi kikubwa na mfumo pumbaza, na wakifanyacho ccm ni kufanikiwa kukupumbaza wewe.......sauti ya Nape ni sauti ya ccm, ni sauti yako.....hili ndo jambo linalotugharimu kama taifa pale tunapokuwa na chatter box wengi.....kilichotokea kenya kwa magufuli ndo kama haya wataka kutuaminisha, matamshi ya membe kuhusu kuivamia malawi na kupeleka askari kongo si zake bali husadifu nchi na hususan ccm.......................nape ni janga ndugu yangu
Mtu makini hawezi kufanya kosa la kijinga kama hilo kutojua Tanzania imetokana na nini bali anabaki kuropoka tuu kama mwendawazimu asiyejua afanyalo,mbona yeye alishindwa kujadili maendeleo na kuamua kufanya personal attack kwa Dr. wa ukweli?hakuwa na mada za maana kujadili dhidi ya taifa hili?acheni kumtetea eti mtu makini wakati ni kilaza mkuu,Nape janga la kitaifa,niliwahi kumuuliza kama ni halali kuendelea kupata mshahara kama DC wa Masasi wakati ameteuliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM,kilichofuatia ni kuni-unfriend facebook,huyo ndio kiongozi kweli ukiuliza issue zinazomgusa anachemka?atwambie alipokea mishahara mingapi bila kuwatumikia wananchi wa Masasi kama DC?uadilifu wake uko wapi?
na wewe unaposema ungano ndo unaamanisha muungano?acha umbea siku nyingineWana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi ungano wa Tanzania na Zanzibar kama maazimio yao ya chama,hivi kweli Tanzania iliungana na Zanzibar au ndio muendelezo wa uvuvuzela wao?
Nawasilisha
'let we' ndo kíingereza cha wapi wewe mburula?sema kwa nguvu let us!haya twendeee ....nape ni janga la taifa.......let we have a campaign of anti Nape.........kiongozi mbumbumbu anakiua chama chake mwenyewe.......
Naomba muamini kwamba Nape
anauelewa zaidi ya viongozi wenu wote mnao wategemea chadema hivyo
kuendelea kumjadili ni kumvunjia heshima yake mbele ya jamii.
Naomba muamini kwamba Nape anauelewa zaidi ya viongozi wenu wote mnao wategemea chadema hivyo kuendelea kumjadili ni kumvunjia heshima yake mbele ya jamii.