Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Nataka canada mm
MPH unapata Israel fasta,nawajua watu wangu wawili wa karibu waliopata fastakwa mliowai kupata full scholarship mnisaidie mawazo!!!
Najaribu kupta mitandaoni lakini scholarship hazieleweki plus zingine za kulipia
Nataka scholarship ya MPH full funded UK
Huwez juaWewe ni lecturer?? Degree yako umeshaiganyia kazi??
Watu hukimbilia masters na wakati degree tu yenyewe haijakupeleka popote....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni lecturer?? Degree yako umeshaiganyia kazi??
Watu hukimbilia masters na wakati degree tu yenyewe haijakupeleka popote....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa, inamake sense kabisa....Tunamalengo tofauti tofauti mkuu,,
mfano mm nishafanya kazi miaka 5 nahitaji exposure mpya
Utapata mkuu .. kila la kheri.. Mungu akufanyie wepesi na njia..Kwa mliowai kupata full scholarship mnisaidie mawazo!!!
Najaribu kupta mitandaoni lakini scholarship hazieleweki plus zingine za kulipia
Nataka scholarship ya MPH full funded UK
Hapo sawa, inamake sense kabisa....
Unakuta mtu hata experience baada ya kumaliza degree hana anakimbilia masters, matokeo yake anarudi na masters yake bado anahaha mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata mkuu .. kila la kheri.. Mungu akufanyie wepesi na njia..
Nitakuulizia kwa jamaa zangu tulio soma nao wanafanya kazi kule.. wakinijibu nitakupa majibu vizuri yenye uhakikaNisaidie mawazo
Nitakuulizia kwa jamaa zangu tulio soma nao wanafanya kazi kule.. wakinijibu nitakupa majibu vizuri yenye uhakika
mkuu ukiipata nichekiKwa mliowai kupata full scholarship mnisaidie mawazo!!!
Najaribu kupta mitandaoni lakini scholarship hazieleweki plus zingine za kulipia
Nataka scholarship ya MPH full funded UK
mkuu ukiipata nicheki
Scholarship zipo za kutosha, ni full funded kikubwa uwe na qualification.Kwa mliowai kupata full scholarship mnisaidie mawazo!!!
Najaribu kupta mitandaoni lakini scholarship hazieleweki plus zingine za kulipia
Nataka scholarship ya MPH full funded UK
kabisaunataka twende wote
Scholarship zipo za kutosha, ni full funded kikubwa uwe na qualification.
Mwanafunzi anayesoma kwa Commonwealth Scholarship analipwa millioni 4 kwa mwezi mbali na marupurupu
Hii ni kama fursa zingine za ajira. Ukifanikiwa kuipata hiyo scholarship huo ndio mshahara wa mwanafunzi anayesoma kwa hiyo scholarship. Nitarudi kuwaeleza Commonwealth Scholarship ni nini? Tullia na hii Link (Scholarships and Fellowships - Commonwealth Scholarship Commission in the UK)...www.jamiiforums.com