Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,763
Nashukuru mkuu, nna chanel ya youtube nimeona ni vyema nikomae nipate mic nzuri!Ni vyema kuainisha na bajeti yako pia. Ila kama bajeti iko wazi, Blue Yeti ni moja ya USB mic bora kwa hizo hapo ikifuatiwa na Snowball. Snowball ilikuwa ni mic yangu ya kwanza kununua...
Thank you, it was helpful!Hizo ni za Kuagizia online, mbongo akiuza yeti ni laki 5 na upuuzi.
560,000
Yeti kwenye sale hadi $80, pamoja na usafiri pengine I kasimama 300k mpaka 350k.
Ndio plan! Plug and play! Kwani unashauri nini mkuu?Sasa ndugu ufanye direct connection bila Mixer.
Si umeshauriwa hapo juu uchukue kati ya Yeti au Snowball? Bado shida nini...Bado natafuta mic nzuri kama unajua tafadhali tupeane mwongozo
Mkuu jaribu samson 1upro nasisitiza uwe pro ni mojawapo ya the best usb mics zinachuana na blue yeti.Ni vyema kuainisha na bajeti yako pia. Ila kama bajeti iko wazi, Blue Yeti ni moja ya USB mic bora kwa hizo hapo ikifuatiwa na Snowball. Snowball ilikuwa ni mic yangu ya kwanza kununua, niliinunua kwa $40 nadhani kwa kuagiza mtandaoni na jumla kibongo nililipa 210k mpaka kuipata.
Quality yake ya audio ni bora sana kwa USB mic (japo usb mic zote binafsi sishauri, kama mtu unaweza bora uchukue tu audio card na XLR mic kupata audio bora). Rode zina ubora sana katika muundo lakini bei kubwa sana, sidhani kama ni best value for money.
Hapo kwangu ningekushauri utafute Snowball. Kama fedha inaruhusu basi Blue Yeti.
Mkuu jaribu samson 1upro nasisitiza uwe pro ni mojawapo ya the best usb mics zinachuana na blue yeti.Nimekua nikifanya tafiti ya mic nzuri kwa ajili ya YouTube videos bila mafanikio, kama unajua naomba nijulishe wapi naweza pata mic nzuri kwa ajili ya YouTube? Na inaweza kua inauzwa bei gani?
Kuna kampuni nimejaribu kazifuatilia mfano
1. Rode
2. Blue yeti
3. Snowball iCe
4. Behringer
Nk nk nk
Naomba ushauri tafadhali
NB: Iwe ya kuunga moja kwa moja kwenye pc (USB Mic)
USB mics situmii mkuu, hata hiyo snowball ilikaa muda mrefu nikampa mtu. Nina audio card na natumia xlr mics. Bei mpaka imekufikia ilikuwa ni kiasi gani? Inaweza kumsaidia pia mleta madaMkuu jaribu samson 1upro nasisitiza uwe pro ni mojawapo ya the best usb mics zinachuana na blue yeti.
Nimekuwa naitumia kwa siku ya 4 inanipa matokeo mazuri sana aisee. Na ni portable sana.
Kama ukiwa vizuri zaidi agiza tula mic
Mimi mwenyewe nina xlr mic ya akg P120 na sound card ya behringer, ila kwasababu ya kusafiri safiri nlitaka kitu ambacho naweza beba tu kirahisi ndio nikapata hii. Ina software unadownload kwenye web yao kwa $3 inasaidia kuondoa background noise na echo pia in case warecord kwenye mazingira ambayo sio mazuri na inandoa wakati warecording waiset then watumia any software kurecord na saut inaingia ikiwa tayari ishafanyiwa manuva.USB mics situmii mkuu, hata hiyo snowball ilikaa muda mrefu nikampa mtu. Nina audio card na natumia xlr mics. Bei mpaka imekufikia ilikuwa ni kiasi gani? Inaweza kumsaidia pia mleta mada
Interesting, I'll look into it. Sijahitaji kurekodi safarini kwa muda sasa, ila uko sahihi ni muhimu kweli kuwa na portable device when on the road.Mimi mwenyewe nina xlr mic ya akg P120 na sound card ya behringer, ila kwasababu ya kusafiri safiri nlitaka kitu ambacho naweza beba tu kirahisi ndio nikapata hii. Ina software unadownload kwenye web yao kwa $3 inasaidia kuondoa background noise na echo pia in case warecord kwenye mazingira ambayo sio mazuri na inandoa wakati warecording waiset then watumia any software kurecord na saut inaingia ikiwa tayari ishafanyiwa manuva.
355k mkuu
Ila pia unaweza look into tula mic maana hahitaji pc wala simu kurecord halafu ina internal memory ya 8gb. Ukiiconnect kwa pc au tablet inakuwa usb condensor mic tu kawaida kama hujaiconnect unarecord baadae utahamisha mafile yako tu.Interesting, I'll look into it. Sijahitaji kurekodi safarini kwa muda sasa, ila uko sahihi ni muhimu kweli kuwa na portable device when on the road.