Habari wadau, naomba kuelekezwa machimbo ya jezi za mpira wa miguu, kuna jezi zinauzwa kariakoo pale kwa sh. 8000 adi 9000 zingine, naweza pata wapi hizi jezi kwa bei ya jumla?
Mtaa wa kongo maduka mengi pale wanauza kwa bei izo za 8k na 9k asa mm nilikuwa nataka wanapouza izo jezi kwa bei ya jumla ambapo wanakuja kutuuzia kwa bei ya 8k adi 9k

Ule mtandao mkubwa kaka, wale wengi wanachanga wanaaiza nje. Zoezi la kuagiza nje nowadays sio gumu. Pale kun watu wana magodauni huko stoo mzigo wa kutosha