Napata error "Applicacation not installed".

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
13,408
Reaction score
32,274
Tangu jana huawei y220-uoo nikijaribu kuinstall whatsapp.apk na apk nyingine imekua ikiniletea error hiyo hapo juu! Nimejaribu kutick kwenye ile sehemu ya ku-allow non-market apps ila bado inagoma! SD card na internal memory ina space ya kutosha tu! Msaada wenu tafadhali?
 
Mmm makubwa nami pia nimenunua tatizo ilo ilo il a internet natumia fresh tatizo kudawnload apk ndio majanga duu Naomi pia naomba msaada no huawei y 220
 
Unainstall apk iliyoko kwenye sd-card? au ni ambayo umeidownload kutoka kwenye app store ?
,
 
kuna mtu alishauri liwepo jukwaa maalum kwa ajili ya huawei na tecno maana ni majanga,kila siku msaada tecno,huawei tehetehe
 
Uninstall kwanza kisha reboot simu na uiinstall upya hiyo app itakubali tu, unatumia antivirus gani?

Hiyo app haipo kwenye simu nlitaka kuiweka kwa mara ya kwanza! Afu sijaweka anti-virus yoyote ile!
 
Hiyo app haipo kwenye simu nlitaka kuiweka kwa mara ya kwanza! Afu sijaweka anti-virus yoyote ile!

Hayo ndiyo matokeo ya kutumia simu bila antivirus, funga kwanza AVG free antivirus kisha i-scan simu yote na ujaribu ku-install hiyo app tena, kama itaendelea kugoma nakushauri ui-back up & reset (kuwa makini unaweza kupoteza baadhi ya data, kwahiyo zihifadhi sehemu salama data mhimu), hii lazima i-solve hiyo issue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…