Pia mimi asubui nilipata tatizo hilo.ukipiga unaambiwa*Not registered on network*
Imei no ya simu yani uki dial *#06# ni original,nimeconfirm kwa kuituma 15090..pia nime confirm imei.info; kikaratasi cha nje kinachoonekana baada ya kutoa betri imei yake ni tofauti na simu nayotumia...nimechanganyikiwa sielewi ukweli ni upi...nikiwa natafakari nilitoa line ya simu na kuirudisha baadaye ika detect network....
Nilikua nataka niende tcra kuuliza kuhusu hilo swala...