G
guest-1790917349
Guest
Safishukran boss
Safishukran boss
Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako.ndugu zangu nawashukuru sana maoni yenu yamesaidia ,nlienda duka la dawa nikapewa vidonge vidogo vidogo kama 6 nikaambiwa nimeze vyote,baada ya muda kdogo mzgo umeshuka wote
najiskia huru sasa nipo nakunywa maji mengi